Inasalia masaa machache kwa chaguzi ndogo tano kufanywa, tangu Australia iwe shirikisho.
Chama cha Labor kina fanya kampeni katika miji minne nchini, kujaribu kutetea viti vyake bungeni ambavyo chama hicho kilipoteza kwa sababu ya kashfa ya uraia pacha.
Naye waziri mkuu Malcolm Turnbull, alifanya mapumziko mafupi katika kampeni yake wiki hii, nakutembelea kijiji kimoja ambacho kime kumbwa kwa kashfa za madai ya unyanyasaji wa watoto.
Share






