Wanachama wajamii zawa Afrika kutoka vitongoji vya Sydney, walihudhuria tamasha hiyo kwa makumi yama elfu baada ya miaka mbili ya matukio na tamasha kama hizo kupigwa marufuku kote nchini kwa sababu ya hatua zaku dhibiti usambaaji wa UVIKO-19.
Baadhi ya wadau walio hudhuria tamasha ya Africultures Festival 2022, wali changia maoni yao na SBS Swahili kuhusu walivyo kuwa wamekosa katika miaka mbili ya nyuma, pamoja na vilivyo wavutia katika tamasha ya mwaka huu.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.