Kuwaenzi wanawake wanao 'achwa nyuma'

June Oscar AO, mmoja wa wazungumzaji katika mkutano wa "No Woman Left Behind" Source: Getty Images
Watu duniani kote wame jumuika Ijumaa tarehe nane Machi, kuadhimisha sherehe nyingine ya siku kuu yakimataifa ya wanawake.
Share




