Madai hayo yame sababisha kundi la vijana mjini Melbourne kuandaa tamasha ya "Ujamaa Community Festival", ambako wanachama wa jamii zawa Afrika walikutana na wenzao kutoka jamii pana yawa Australia, kuzungumza, kuchangia uzoefu wao pamoja nakusherehekea utofauti wa jamii zinazo ishi Victoria.
Juhudi za anza kukabiliana na sintofahumu, kuhusu vijana wakiafrika mjini Melbourne

Baadhi ya vijana walio hudhuria tamasha ya ujamaa Source: Ayen
Katika siku za hivi karibuni, wanasiasa na baadhi ya vyombo vya habari nchini Australia, wame kuwa wakiongoza mjadala kuhusu vikundi vya vijana wakiafrika wanao fanya vurugu mjini Melbourne, naku inyima jamii pana fursa yaku shiriki katika shughuli zao za kila siku kwa sababu yaku jawa uoga.
Share




