Chama tawala cha Burundi CNDD/FDD, kime mchagua Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye, kupeperusha bendera yao katika uchaguzi wa urais ujao.
Uteuzi huo wa Bw Ndayishimiwe amepokewa kwa furaha na raia wengi wa Burundi, ambao walikuwa na hofu kuwa rais aliye madarakani hata tekeleza ahadi yake yakutowania urais tena baada yakubadili katiba ya nchi hiyo.
Je vyama vya upinzani vya Burundi vita ungana kumchagua mgombea mmoja, au kila chama kita wania urais kivyao?
Share





