Maswali yanaulizwa kama Australia nayo itafuata hatua hiyo. UVIKO -19 hauendi popote, wakati wowote hivi karibuni.
Na kwa hiyo, dunia inajifunza kuishi na virusi hivyo na sehemu kubwa ya hatua hiyo inajumuisha chanjo. Nchini Marekani, jopo la wataalam limepiga kura bila kupingwa kuwa manufaa yakuwachanja watoto wenye chini ya miaka tano, ni mengi kuliko hatari. Ila watoto wachanga nchini Australia, bado hawaja stahiki kupokewa chanjo hizo.
Dr Wood ameongezea kuwa wakati majiribo ya kwanza yanadokea majibu mazuri ya kinga ya mwili katika watoto wachanga, data zaidi itahitajika kuunga mkono chanjo hizi.