Wakati huu jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo ikikamilisha msimu wa masomo kote nchini,ambapo wengi wa watoto huingia katika likizo.
Mjini Bukavu watoto wengi wanaonekana kufanya kazi kinyume na sheria huku wengi wao wakionekana kujishughulisha na biashara kwenye soko na barabarani.
Ingawa uhimizaji umekwisha fanyika watoto hawo wanaendesha kazi hizo bila shaka lote na kwa macho ya watu wote.
Mwandishi wa SBS nchini DRC BYOBE MALENGA na taarifa zaidi.
Share





