Inakadiriwa kuwa mtoto mmoja kati yawatoto kumi wenye ulemavu, hawa saidiwi na shule za kawaida, licha ya shule hizo kuwa na jukumu lakutoa msaada wanao hitaji.
Watoto wenye ulemavu watengwa shuleni

Wanafunzi waenda darasani Source: SBS
Mwaka wa elimu una endelea kwa kasi ila, baadhi ya wanafunzi wanakabiliana na changamoto zaku jumuishwa.
Share




