Katiba ya Kenya ime ipa tume inayo simamia maswla ya uchaguzi nchini Kenya, siku saba baada ya siku ya uchaguzi mkuu, kuhesabu nakutangaza matokeo.
Hata hivyo wanao taka jua matokeo ya uchaguzi mkuu haraka, silazima wasubiri hadi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atoe tangazo rasmi.
Bw Chris ni msimamizi wa zamani wa uchaguzi nchini Kenya, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili alifichua siri ya sehemu ambako watu wanaweza pata matokeo ya uchaguzi walio shiriki. Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.