Krismasi niwakati wakutathmini nakutoa shukrani kwa baraka zetu

Baadhi ya waumini walio zungumza na idhaa ya Kiswahili ya SBS, ndani ya kanisa la Jesus Family Centre, Cabramatta NSW, Australia Source: SBS Swahili
Kila tarehe 25 Disemba watu wengu duniani kote, hujumuika katika sherehe za krismasi pamoja na familia na marafiki wao. SBS Swahili ilitembelea kanisa la Jesus Family Centre, ambalo liko katika kitongoji cha Cabramatta, NSW ambako baadhi ya waumini walichangia maoni yao nasi kuhusu krimasi.
Share




