Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Wakili wa Jumuiya yamadola kuchunguza mfumo waku rejesha deni za Centrelink

Centrelink
Centrelink Source: SBS

Wakili wa umma katika Jumuhia ya Madola ameulizwa kuchunguza mfumo waku rejesha deni za Centrelink, huku kukiwa na ripoti za kutolewa kimakosa kwa ilani.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Wakili wa umma katika Jumuhia ya Madola ameulizwa kuchunguza mfumo waku rejesha deni za Centrelink, huku kukiwa na ripoti za kutolewa kimakosa kwa ilani.

Mbunge huru Andrew Wilkie ameongezea sauti yake kwa kuikosoa mbinu ambayo ime ogopesha watu, nakuwafanya walipe deni ambazo hawadaiwi.

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now