Nimapema kusema sababu na uchunguzi rasmi bado una endelea, ila uvumi umesambaa kuwa baadhi ya vifaa vilivyo tumiwa kukarabati jengo hilo vilichangia katika janga hilo.
Hofu imeongezeka kuwa baadhiya magorofa nchini Australia huenda yaka athirika.
Share





