Consolata: "Kuwa mvumilivu maishani"

Bi Consolata mbele ya chuo chake chaki katoliki cha Australia Source: SBS Swahili
SBS Swahili ilizungumza na Bi Consolata, ambaye ni mwanachama wa baraza la viongozi wa wanafunzi wakimataifa katika chuo chaki katoliki cha Australia. Bofya hapa chini usikize makala haya maalum.
Share




