Ndege zakivita za Japan, zilishambulia mji wa Darwin kwa mabomu.
Jumamosi taifa lilikumbuka siku ambayo vita vilitembelea fukwe za Australia.
Brian Winspear alikuwa rubani katika jeshi la wanahewa wa Australia, wakati wa shambulizi dhidi ya Darwin. Source: Aneeta Bhole/SBS News
Jumamosi taifa lilikumbuka siku ambayo vita vilitembelea fukwe za Australia.
SBS World News