Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

David Rudisha aipa Kenya fahari mjini Rio

David Rudisha baada yaku shinda michuano ya mita 800
David Rudisha baada yaku shinda michuano ya mita 800 Source: Reuters

Kenya ime kabiliana na janga moja hadi lingine katika michuano ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro, Brazil. Wakufunzi wawili walirejeshwa nyumbani mapema siku chache baada ya shirika la WADA kuondoa Kenya, katika orodha ya nchi ambazo hazi tekelezi masharti ya shirika hilo.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Kenya ime kabiliana na janga moja hadi lingine katika michuano ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro, Brazil. Wakufunzi wawili walirejeshwa nyumbani mapema siku chache baada ya shirika la WADA kuondoa Kenya, katika orodha ya nchi ambazo hazi tekelezi masharti ya shirika hilo.

Hata hivyo David Lekuta Rudisha ameipa Kenya sababu yaku tabasamu baada yaku fanikiwa kudhibiti taji lake la mita 800. Ushindi huo uliipa Kenya nishani yapili ya dhahabu licha yaku kabiliwa na upinzani mkali.

SBS Swahili ili ilizungumza na baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi mjini Sydney Australia, ambao walifunguka kuhusu utata ambao ume ikabili nchi yao katika michuano ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro, Brazil.

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now