Idadi ya watu 21 wali fariki katika shambulizi hilo, na mamlaka wanatarajia idadi hiyo kuongezeka.
Wanamgambo waki somali wa al-Shabab, wame dai shambulizi hilo ambalo ni shambulizi la kwanza nchini Kenya katika miaka mitano.

Washambulizi wanaswa kwenye video za ulinzi, mjini Nairobi, Kenya Source: AP
Wanamgambo waki somali wa al-Shabab, wame dai shambulizi hilo ambalo ni shambulizi la kwanza nchini Kenya katika miaka mitano.

SBS World News