Makundi yawafanya biashara yanataka kupunguzwa kwa viwango vya marupurupu yawatu wanao fanya kazi Jumapili, yawasilishwe haraka iwezekanavyo.
Hata hivyo baadhi yawanasiasa katika serikali ya mseto wanapendelea hatua hiyo iwasilishwe taratibu, Seneta mmoja kutoka Tasmania amependekeza watu ambao wame ajiriwa kwa sasa mapato yao yasipunguzwe.
