Shirika la Standard and Poors halija shusha ubora wa vipimo vya uchumi wa Australia, licha ya nikisi ya dola bilioni 10 katika ripoti ya bajeti ya katikati ya mwaka.
Hata hivyo shirika hilo limeendelea kuwa na shaka kuhusu uwezo wa serikali ya Turnbull kuboresha uchumi, wakati mweka hazina amedai kuwa serikali ita toa bajeti yenye ziada katika muda wa miaka mitano.
Share
