Kitabu cha Survivors Uncensored kina mifano kadhaa ya jinsi tofauti za wanasiasa zinaweza sababisha maafa makubwa katika nchi husika.
Katika mazungumzo maalum na mmoja wa waandishi wa kitabu hicho, Bi Delphin ali eleza SBS Swahili jinsi matukio ya mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda, yanaweza kuwa funzo kwa nchi jirani katika kanda la Afrika Mashariki, pamoja na mwongozo wakuepuka kupitia uzoefu kama huo.
Kama ungependa soma kitabu cha Survivors Uncensored, unaweza kipata kwenye tovuti hii: https://www.amazon.com/SURVIVORS-UNCENSORED-TESTIMONIES-PRE-RESILIENCE/dp/B0B5KQSKQ8