Imeripotiwa kuwa takriban zaidi ya watu 65 walipoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa, huku nyumba kadhaa zikisombwa na maji.
Delphin:"Tuna watu watakao gawa hela, nakufautilia kujua hela zinawafikia watu"

Watu watafuta hifadhi juu ya mabati katika mafuruko, Uvira Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Source: Sprouting Africa
Zoezi la kutafuta miili ya watu waliopoteza maisha linaendelea katika mji wa Uvira, mkoani Kivu Kusini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, baada ya kukumbwa na mafuriko katikati mwa wiki iliyopita.
Share