Viongozi wa shirika la African Australian Advocacy Centre, walikuwa miongoni mwa walio jumuika katika hafla hiyo ambako walikuwa wakitoa taarifa kwa jamii karibu ya banda lao.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, viongozi wa shirika hilo Bw Noel na Bi Delphine, wali funguka kuhusu kazi wanazo fanya na jinsi wadau wanavyo pokea kazi zao.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.