Wabunifu watumia nywele kupeleka ujumbe wa upendo na kujiamini

Exhibition Source: frank
Nywele zina maana gani kwa mama au msichana wa Kiafrika? Je kuna ubaguzi wowote wanaofanyiwa akina dada kuhusu nywele zao? Wasichana wawili wabunifu wanaojulikana kama 2 Sydney Stylists wametufahamisha mengi kupitia maonyesho ya picha ya nywele yaliyopewa jina la "Taji lako, Simulizi yako."
Share