Watu wengi wali imarisha imani zao janga la COVID-19, lilipo lipuka nakudai maisha yawatu wengi duniani kote.
Je dini na viongozi wakidini wana nafasi gani yakutoa faraja, hususan wakati walio fiwa wamekuwa wame shiriki katika ibada na sala wakimsihi Mungu amponye/amwokoe mpendwa wao.
Mchungaji John Omari kutoka kanisa la Jesus Family Centre (JFC) jijini Cabramatta, NSW, alijibu baadhi ya maswali haya katika mazungumzo maalum tuliyo fanya naye.
Share





