Makazi kwa walemavu

Christine Harrington & daughter Narrelle Harrington Source: SBS
Wakati uundwaji wa mpango wa kitaifa wa bima ya walemavu umesaidia kuboresha uangalizi kwa watu wenye ulemavu Australia, watalaamu wanasema, asilimia ndogo tu ya walengwa wanastahili kupata makazi chini ya mpango huo. Hivyo inaacha familia na waangalizi kutafuta masuluhisho mbalimbali na siyo yote ni mazuri.
Share