Katika sehemu ya maandalizi hayo, vijana wa jamii hiyo wame kuwa wakicheza mechi zakirafiki pamoja nakushiriki katika kombe lililo andaliwa na shirika la ASSIDA, kama sehemu ya sherehe za uhuru wa taifa la Jamhuri yakidemokrasia ya Congo.
Bw Djuma ni mmoja wa viongozi wa timu hiyo, alieleza SBS Swahili jinsi maandalizi yao yana endelea, changamoto wanazo kabili pamoja na matarajio yao kwa michuano watakayo shiriki.