Wakati huo huo kundi la wanaharakati kwa jina la Sauit ya watanzania, nalo lime ongeza juhudi kupinga hatua ya Spika wa bunge la Tanzania, Dkt Tulia Ackson kuwania wadhifa wa bunge lakimataifa IPU.
Dkt Annefrida kutoka Sauti ya watanzania ali eleza SBS Swahili kwa nini kundi lake linapinga ugombea wa Dkt Ackson.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.