Katika mazungumzo maaalum na SBS Swahili, Dkt Damascent alizungumza kwa upana kuhusu moja yamagonjwa ambayo huwakabili wanaume, na umuhimu wa wanaume kufanyiwa uchunguzi wa mara kwa mara wa afya.
Dkt Damascent, alifunguka pia kuhusu baadhi ya vitu vinavyo sababisha magonjwa kama saratani ya tezi dume, na jinsi inaweza tambuliwa mapema nakumpangilio wa tiba yake.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.