Hali hiyo imesababisha wadau wengi kuhoji ni wapi mataifa hayo yana kwama, na kwa nini viongozi husika hawajifunzi kutoka wenzao katika mataifa yenye fanikio zaidi katika sekta hiyo.
Bw Dominic ni Mwenyekiti wa Jamii yawatu kutoka DR Congo wanao ishi mjini Sydney, NSW, Australia. Katika mazungumzo maalum wakati wa mechi ya timu ya vijana wa jamii yake, alifunguka kuhusu changamoto zinazo kabili timu za kanda ya Afrika ya Kati na jinsi yakupata suluhu kwa changamoto hizo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.