Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Usisahau asili yako

Bi Filda Akot kutoka shirika la Spur Afrika
Bi Filda Akot kutoka shirika la Spur Afrika Source: Spur Afrika

Kitongoji cha Kibera kina julikana kama mji mkubwa wenyemakazi duni barani Afrika. Ina kadiriwa idadi yawatu wapatao milioni 1 wanaishi Kibera.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Kitongoji cha Kibera kina julikana kama mji mkubwa wenyemakazi duni barani Afrika. Ina kadiriwa idadi yawatu wapatao milioni 1 wanaishi Kibera.


Fursa zakujiendeleza ni haba mno kwa sababu mahitaji yanazidi uwepo wa fursa hizo. Licha ya changamoto hiyo shirika la msaada kwa jina la Spur Afrika lenye asili ya Australia, lime anza kukabiliana na uhaba huo wa fursa hapo Kibera.

SBS Swahili ilizungumza na Bi Filda Akot kutoka shirika la Spur Afrika, na alitueleza jinsi shirika lake linavyo badilisha maisha yawakazi wa Kibera. Kwa maelezo zaidi kuhusu miradi ya Spur Afrika tembelea: www.spurafrika.org

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now