Kiongozi wa upinzani Felix Tshisekedi ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo, katika matokeo ambayo yame washangaza watu wengi, naku zua gumzo miongoni mwa baadhi ya watu ambao wame hoji uhalali wa kura uchaguzi huo.
Jean-Yves Le Drain ndiye waziri wa kigeni wa France, naye pia anaomba uwazi katika matokeo ya urais ya DRC.
Ameongezea kuwa matokeo hayo haya, ambatani na matokeo ya hesabu ya kura ya kanisa katoliki ya Congo.
Wingu la tuhuma za kuingilia kati ya uchaguzi, kume haribu sifa ya ukabidhaji wa madaraka kwa amani kwa mara ya kwanza nchini DR Congo, miaka 59 baada ya taifa hilo kupata uhuru.
Share






