Vijana wa DR Congo hatimae, wamaliza ukame katika fainali ya ANSA2018

Wachezaji wa DR Congo wa NSW, washerehekea ushindi katika kombe la ANSA 2018 Source: SBS Swahili
Kwa muda mrefu wachezaji wa DR Congo wa NSW wamevunjwa moyo mara kadhaa katika juhudi zao zaku shinda kombe la ANSA la NSW. SBS Swahili ili hudhuria fainali ya kombe hilo, ambayo ilikuwa yaku sisimua naku vutia mno. Punde baada ya mechi hiyo tulizungumza na nahodha wa timu hiyo Clement pamoja na msaidizi wake Shomari kuhusu mechi hiyo.
Share




