Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

DR Congo yaomboleza kifo cha baba wa demokrasia

Waombolezaji watoa heshima zao kwa Dkt Etienne Tshisekedi
Waombolezaji watoa heshima zao kwa Dkt Etienne Tshisekedi Source: Picha: Geert Vanden Wijngaert /AAP/ Ap

SBS Swahili ilizungumza na Bw Theophile Elongo, mwenyekiti wa jamii yawatu kutoka Jamuhuri yademokrasia ya Kongo, kuhusu kifo cha aliye kuwa kiongozi mkuu wa chama cha upinzani nchini humu.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


SBS Swahili ilizungumza na Bw Theophile Elongo, mwenyekiti wa jamii yawatu kutoka Jamuhuri yademokrasia ya Kongo, kuhusu kifo cha aliye kuwa kiongozi mkuu wa chama cha upinzani nchini humu.


Maelfu yawatu wamejitokeza nchini Ubelgiji ambako Bw Tshisekedi alikuwa akipokea matibabu, kutoa heshima zao za mwisho.

Etienne Tshisekedi Wa Mulumbu anajulikana kama baba wa demokrasia, alikuwa waziri mkuu wa zamani pamoja na mwanzilishi na kiongozi wa moja ya vyama vikuu vya upinzani nchini DR Congo.

Matukio mengine kama hayo yana endelea ulimwenguni kote. Viongozi wa jamii yawatu kutoka jamuhuri yakidemokrasia ya Kongo nao wame andaa tukio kama hilo mjini Sydney, Australia.

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now