Michuano hiyo huleta jamii tofauti zaki Afrika pamoja, na hutoa fursa kwa wanachama husika kujumuika nakuchangia uzoefu wao wa maisha na mbinu zaku tatua changamoto zinazo wakabili nchini Australia.
Tanzania inawakilisha jamii za Afrika Mashariki katika robo fainali ya michuano hiyo, na bingwa watetezi DR Congo wako tayari kutetea kombe lao.