Shirika la ANSA, huandaa michuano ya soka kwa niaba ya jamii zaki Afrika mjini Sydney, New South Wales.
Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na baadhi ya wachezaji wa timu ya DR Congo, punde baada ya wachezaji hao kutinga robo fainali ya michuano hiyo ya kombe la Afrika la Sydney.
Share





