Dr Kimeto ana mchango mkubwa katika ukuaji wa wasanii wengi wakisasa wa injili nchini Kenya.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, alifunguka kuhusu kilicho mvutia kuwa masanii, pamoja na uzoefu wake katika sanaa.
Dr Kimeto ambaye pia ni mchungaji mstaafu, alifunguka kuhusu mauaji yawaumini katika eneo la shakahola.