DR Paul Gitwaza: Nyanyuka ung'ae
Mtume Dkt Paul Gitwaza akihubiri Source: Picha: umukunzi.rw
SBS Swahili ilizungumza na Mtume Dkt Paul Gitwaza, alipokuwa katika ziara yake nchini Australia, ambako aliwapa moyo nakujumuika nawaumini ambao wame hamia nchini Australia.Bonyeza hapa usikie mahojiano kamili.
Share
