Wengi wa wakaazi hao ulazimika kuvuka mpaka na kujisaidia maji katika mchi jirani ya Rwanda huku wakilazimika kulipa pesa zaidi.
Changamoto za upatikanaji wa maji DRC
mvulana achota maji kando ya barabara Source: SBS Swahili
Wakaazi wa mji wa BUKAVU mkoani Kivu Kusini,wanakabiliwa na tatizo lauhaba wa maji.
Share




