Uwekezaji huo, unao jumuisha jeki kwa huduma za afya ya akili, ina fikisha jibu la serikali ya shirikisho kwa ukame huo kufikia dola milioni laki tano elfu sabini na sita.
Wakulima wanao kabiliwa kwa ukame mkali, wapata afueni toka kwa serikali ya Australia

Mifugo yawakulima wa NSW yakabiliwa kwa ukame mkali Source: Getty Images
Serikali ya Turnbull imetangaza kuwa inatoa mfuko mpya wa msaada wa dola milioni lakimoja elfu tisini, kwa wakulima wanao kabiliwa kwa hali ambayo ime zungumziwa kuwa moja ya ukame mbaya zaidi katika karne iliyo pita.
Share




