Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Dutton amlaumu Shorten kwa madai tata kuhusu waislamu kutoka Lebanon

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull na Waziri wa Uhamiaji Peter Dutton ndani ya bunge la taifa
Waziri Mkuu Malcolm Turnbull na Waziri wa Uhamiaji Peter Dutton ndani ya bunge la taifa Source: AAP

Waziri wa uhamiaji Peter Dutton ame mlaumu kiongozi wa upinzani kwaku zusha hisia hasi katika jumuiya, pamoja naku potosha maoni yake kuhusu jumuiya yawa Islamu kutoka Lebanon.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Waziri wa uhamiaji Peter Dutton ame mlaumu kiongozi wa upinzani kwaku zusha hisia hasi katika jumuiya, pamoja naku potosha maoni yake kuhusu jumuiya yawa Islamu kutoka Lebanon.

Bw Dutton amesema alikuwa akifanya majadiliano ya uaminifu kuhusu uhamiaji na hata badili maoni yake.

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now