Bw Shorten amefanikiwa kusalia kama kiongozi wa chama hicho cha upinzani, kwa muda mrefu zaidi kuliko watangulizi wake katika historia ya chama hicho.
Uchaguzi 2019: Bill Shorten

Kiongozi wa chama cha Labor, Bill Shorten azungumza katika kampeni ya uchaguzi mkuu wa shirikisho Source: AAP
Bill Shorten alichaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Labor mwaka wa 2013, hatua hiyo ilikamilisha ndoto zakiongozi huyo wa zamani wa chama chawafanyakazi.
Share