Chama cha Nationals huwa na fahari yakuwakilisha watu katika maeneo ya kanda na vijiji vya Australia, na chama hicho kime fanya hivyo kwa takriban miaka miamoja.
Chama hicho kili anzishwa katika mwaka wa 1920, tangu wakati huo jina la chama hicho limebadilika mara kadhaa na kwa miaka mingi kilijiita National Party.
Ila katika mwaka wa 2006, chama hicho kilibadili jina tena nakubatizwa jina la The Nationals.
Share






