Waziri Mkuu Scott Morrison alifanya tangazo hilo, asubuhi ya alhamisi tarehe 11 Aprili 2019, ikiwa ni wiki kadhaa baada ya uvumi kuhusu tawala hiyo kutawala.
Tarehe 18 Mei mwaka huu wa 2019, wa Australia watawachagua wabunge 151 katika nyumba ya wawakilishi, pamoja namaseneta 40, ambao ni nusu yamaseneta 72 wamajimbo, pamoja namaseneta wanne wanao wakilisha wilaya mbili ndani ya seneti.
Ilikuwa na wawakilishi wengi bungeni, pamoja nakuwa na uwezo wakumchagua spika, vyama vyote vinahitaji kushinda viti 77.
Kwa sasa serikali ya mseto inaviti 74 wakati chama cha Labor kina viti 69 ila, ugawanyaji mpya wa mipaka yamaeneo bunge, inamaana kwamba chama cha mseto kita ingia katika uchaguzi huu kikiwa na viti 73 ilhali chama cha Labor kitakuwa na viti 72 kabla ya uchaguzi mkuu.