Uchaguzi mkuu 2019: Yaliyo jiri wiki hii

Wapira kura ndani ya kituo chakupiga kura

Wapira kura ndani ya kituo chakupiga kura Source: AAP

Wiki ya tatu ya kampeni za uchaguzi mkuu wa shirikisho ilianza kwaku funguliwa kwa vituo vyakupiga kura mapema, pamoja na mjadala wa kwanza kati ya mijadala mitatu ya viongozi kufanywa.


Ila vichwa vya habari vili tawaliwa kwa maoni ya baadhi ya wagombea wa uchaguzi, yaliyo patwa mtandaoni pamoja na baadhi ya wagombea hao kujiuzulu au vyama vyao kuondoa idhini ya wagombea hao kuwakilisha vyama husika.

Wiki ijayo mjadala wa tatu wa viongozi utapeperushwa tarehe 8 Mei, katika kikao cha waandishi wa habari maarufu kwa jina la National Press Club.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service