Bi Emma (sijina lake halisi) ni mmoja wa wanachama hao ambao wamepitia uzoefu waku kosa nyumba inayo kidhi mahitaji ya familia yake.
Changamoto hiyo ilisababisha wakala wa nyumba aliyo kuwa akiishi ndani, kumpeleka mahakamani kwa ajili yaku muondoa ndani ya nyumba aliyo kuwa aki kodi.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bi Emma alitufafanulia masaibu yaliyo mkumba. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.