Wape watoto fursa yaku kuza vipaji vyao

Familia ya Birgen katika sherehe ambako binti wao alipokea tuzo Source: SBS Swahili
Wazazi wengi huwa na mipango kuhusu ajira wanazo taka watoto wao wafanye, hata hivyo familia ya Bw Birgen ime amua kuchukua mwelekeo tofauti, kwaku wapa wanao fursa zaku kuza vipaji vyao. Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na familia hiyo, punde baada ya binti wao kupewa tuzo kwa kazi yake kama mpiga picha chipukizi.
Share




