Tangu mradi huu wa msaada wa Fred Hollows umeanzishwa, tumewawezesha kuona takribani watu milioni 2.5 kwa tumia njia rahisi ya upasuaji ya dakika 20.
Kutokomeza upofu unaoepukika

Dr Jane Ohuma kutoka shirika la Fred Hollows Foundation akiwa katika studio ya SBS Source: SBS Swahili
Watu wengi ni vipofu kwa sababu, hawana uwezo wa kupata huduma bora na watakazomudu za afya ya macho.
Share




