Watoto wakiYemeni watembea juu ya ukuta, katika maeneo ya nje ya mashariki ya mji wa Sanaâ, Yemen Source: AAPZaidi ya nusu ya watoto duniani wana tishwa kwa migogoro, umasikini ambao una endelea kuongezeka au ubaguzi dhidi ya wasichana.
Published
Updated
By Hannah Sinclair, Evan Young
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Zaidi ya nusu ya watoto duniani wana tishwa kwa migogoro, umasikini ambao una endelea kuongezeka au ubaguzi dhidi ya wasichana.
Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Save the Children kwa jina la End of Childhood ama mwisho wa utoto kwa tafsiri.
Katika ripoti hiyo, kuna orodha ya nchi 170 zinazo onesha mataifa ambako usalama na furaha ya utotoni inatishiwa.