Exclusive: Seneta Gichuhi afunguka kuhusu mapinduzi ya waziri mkuu

Seneta wa chama cha Liberal, kutoka Kusini Australia, Lucy Gichuhi akizungumza ndani ya seneti

Seneta wa chama cha Liberal, kutoka Kusini Australia, Lucy Gichuhi akizungumza ndani ya seneti Source: AAP

Malumbano ya uongozi ndani ya chama tawala, yame tikisa imani ya umma ya Australia. Wengi wao wakisema wame choshwa na mivuto, ya mawaziri ambao wanaweka maslahi yao, mbele ya maslahi ya taifa.


Wakati kundi moja la wabunge namaseneta wa chama cha Liberal, walikuwa wakiongoza kampeni yakubadili kiongozi wa chama, ambaye pia ndiye waziri mkuu wa taifa, wabunge wengine namaseneta, walijipata wamezolewa na wimbi la vurugu iliyo ibuka.

Lucy Gichuhi ni Seneta wa jimbo la Kusini Australia wa chama cha Liberal, alishuhudia kwa hali yakipekee jinsi mirengo yakulia nakushoto, ya chama tawala ilivyokuwa ikijiangamiza.

Hiki hapa kionjo cha mahojiano tuliyo fanya naye, ambapo alifunguka kuhusu yaliyo jiri wiki hii ndani ya chama tawala cha Liberal. Jiunge nasi Jumanne 28 Agosti 2018, kuanzia saa 12 jioni masaa ya mashariki ya Australia, kwa makala kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service