Je unaweza penda kurejea shuleni, kujifunza kuhusu maswala ya uchaguzi na kupiga kura?
Mjini Perth, mafunzo mapya yameundwa kusaidia kufafanua katiba ya Australia na bunge kwa wahamiaji.
Mafunzo hayo yamekuwa kivutio kikubwa kwa vikundi vingi vya jamii.
Share

