Facebook imepewa faini ya dola bilioni tano, kwa ukiukwaji wa faragha jumatano tarehe 24 Julai 2019.
Facebook yatozwa faini kwa ukiukwaji wa faragha

Facebook's founder Mark Zuckerberg Source: AAP
Gwiji wa mtandao wakijamii Facebook imepigwa faini kubwa, kwaku kiuka faragha ya watumiaji wake.
Share